Delivery Status Notification (Failure)

Advertisements

MAMBO MAGUMU

Kwa kawaida mambo yote ni magumu,
vivyo hivyo mambo yote ni rahisi, ni rahisi kwa kuwa yaliyo magumu yamefanywa kuwa rahisi, na ni magumu kwa kuwa yaliyo rahisi yamefanywa kuwa magumu.
Ni magumu kwa kuwa wanaokula wanakula kilafi hadi vya wengine,
urahisi wake ni pale walio wengine wanaporidhika vyao viliwe na WENGINE!